kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Utakufa wewe utamuacha Putin. Usifikiri Putin wataweza mshughulikia kama jpm.Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.
Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.
Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.
Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya