Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.

Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.

Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.

Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
Mkuu hivi kumbe Putin ni kiboko ya America?
 
ungeanza kutabiri kifo cha ccm, ningekuona wa maana kinoma
 
Putin wa Buza kwa Mama Kibonge, nimekuelewa
 
giphy.gif
Hii mila ni machachari sana
 
Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.

Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.

Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.

Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
Mbona tulisha tabiri bana wewe una copy tu
 
Naona US kalipua pipe ili ulaya wafr kwa baridi na uchumi uanguke maana EUR inapumulia gas na gharama zimepanda
ulaya walikutawala ww ni huyo USA , wao kwao matatizo huwajenga ila ww matatizo yanakuangusha
 
Mlianza kusema ohoooo "Rais wa China kapinduliwa".
Mtoa Mada, Dunia inapitia mabadiliko ambayo hayana budi Kutokea .

Mabadiliko haya Kiini chake chote Wala sio uchumi au Siasa ..... Ni DINI !!.

Kwa hivo basi, imeamriwa Putin kuisaidia Dunia katika Umri wake .

HAWEZI Kufa Ndani ya hiyo miezi, atakufa miaka Kadhaa ijayo kama wanadam wengine wanavyokufa , kifo chake kitakuja siku nyingi zijazo Mara baada ya kukamlisha majukum yake.
kuisaidia dunia kwa kuivamia UKRAINE au UKRAINE alikuwa anaitesa dunia , fichen uchiz bas tuzid waheshimu
 
Back
Top Bottom