Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #81
Mara ya ngapi?Wewe unakufa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya ngapi?Wewe unakufa lini?
Ni Lavrov nini?Unamjua lakini aliye namba mbili kwenye line of succession in case Putin akafa?.. Huyo mrithi wake ni sawa na Putin watatu..In short hata akija nani moto ni uleule
Natabiri 2025 baada ya mkutano mkuu wa ccm rundo la wana ccm kuondoka kutafuta maisha mapya katika chama kingine.. CCM kukosa nguvu bara.. si chadema si ACT bali kuna chama kitakachoiangusha CCM 2030 haifiki watakua wamepoteza nguvu yao.Tabirini basi ccm inatoka lini madarakani?
Aisee! Sawa acha tuone.Natabiri 2025 baada ya mkutano mkuu wa ccm rundo la wana ccm kuondoka kutafuta maisha mapya katika chama kingine.. CCM kukosa nguvu bara.. si chadema si ACT bali kuna chama kitakachoiangusha CCM 2030 haifiki watakua wamepoteza nguvu yao.
Na unaambiwa huyo putin hapo Kremlin yeye ndio Mpole. Kuna vichaa kuliko yeye hapo ambao wao sekunde tu wanarusha nyuklia ukraineHuu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.
Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.
Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.
Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
labda putin wa tukuyu sio yule wa urusiHuu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.
Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.
Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.
Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
Unatoa utabiri halafu unasema lazima utimie!Kwa hiyo Putin ni nani? Kama ni nabii hata nabii Issa alikufa kabla hajamaliza kazi ya kupeleka injili dunia yote, ndio maana akasema Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu.
So utabiri niliouyoa lazima utimie
Kufa atakufa!! Lkn sio kwa utabiri wako hapo juu.ras jeff kapita , katika vitu ambavyo mwanadamu ana uhakika navyo ni kifo. Fanya ufanyalo utakufa tu.
Putin sio sayari kwamba atadumu milele
Wewe sio TUMIA AKILI we ni mgangagingikoko fulani😂😂😂Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.
Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.
Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool.
Tutayasikia mengi lakini huo ndio utakuwa mwisho wa Putin na mwanzo mpya wa Urusi mpya
Sijasema utabiri wangu ndio utakuwa chanzo cha kifo.Kufa atakufa!! Lkn sio kwa utabiri wako hapo juu.
Ndizo zina push magari makali mjini.
Apia.....Ila marinda hana…