Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

Kwa hiyo Putin ni nani? Kama ni nabii hata nabii Issa alikufa kabla hajamaliza kazi ya kupeleka injili dunia yote, ndio maana akasema Enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wangu.

So utabiri niliouyoa lazima utimie
 
nadhani itakuwa unamtabiria kifo putin mwakyusa wa hapo mbeya.
Kama ni kuteseka kuna sehemu watu wanakufa sana kuliko huko ukraine angalia tu hapo DRC wamekufa zaiduli ya watu 5ml.leo huko palestina waisrael wamemtandika risasi mtoto wa miaka 7 nenda yemen,Iraq au syria kaguswa mzungu tunatoa povu kweli kweli acha nao wapate suluba aisee.
 
Dunia itakuwa imepoteza equilibrium….haiwezi tokea.
 
 

Attachments

  • Putin.jpg
    27.1 KB · Views: 5
nadhani itakuwa unamtabiria kifo putin mwakyusa wa hapo mbeya.
Nadhani watamkuta kwenye mtaro wa maji taka kama
MWENDAZAKE Saddam na Gaddafi bila kusahau kumsukumizia jiti kubwa kwenye nyoro .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…