Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifeli huyo ,Kasoma kwa kuunga unga.Nimefarijika kusikia kuwa ali reseat mtihani wa kidato cha nne. Sijui ni kweli!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Alifeli huyo ,Kasoma kwa kuunga unga.
Sasa ukweli nikwamba, hiyo nidalili tosha kua KICHWAN HAMNA KITU.
Mkuu sio kila alosoma kwa kuunga unga hakuwa na akiliNchi lugha mama ni Kiswahili.
Nitamshangaa Mtanzania asojua Lugha ya Kiswahili .lkn kamwe siwez mshangaa Mtanzania aongezee kienglish .
Wachina wanatumia Lugha yao...wako mbali sana.
Warusi...ivoivo
Wakorea, waturuki.... Ivoivo
AKILI ALIKUA NAYO JPM...HUWEZI KUILINGANISHA NA HUYU ALOSOMA KWA KUUNGA UNGA SABABU YA KUTOKUA NA AKILI.
Na kwann mzozane kisa Lugha??Samia hata maneno ya kawaida tu ya Kiingereza hajui kuyatamka vizuri.
Hata akiwa anasoma bado anashindwa kuyatamka.
Ni wa kawaida sana kwenye hiyo lugha.
Na hayuko vizuri kwenye kuongea.
Ukiona mtu anadai Samia yuko vizuri kwenye Kiingereza basi jua mtu huyo naye hiyo lugha inampiga chenga.
Ninaelewa Mkuu, hususan suala la Uchumi linafanya wengine waunge ..Mkuu sio kila alosoma kwa kuunga unga hakuwa na akili
Hapana. Lakini hayuko vizuri kivile…Unaweza mlinganisha na mwendazake???
The world has had the opportunity to see for themselves the Russian president's ability to speak in the current lingua franca. In 2013 Putin made a pitch in English for Russia to host the 2020 World Expo in Yekaterinburg, Russia's fourth-largest city. According to Kremlin spokesman Dmitry Peskov, Putin is an able speaker in English as well. Peskov told Rossiya 1, a Russian state-run television channel, that Putin speaks for himself in English when conversing with other foreign leaders on the sidelines of international summits. "He practically understands English completely and sometimes even corrects the translators," Peskov saidPutin hajui kingereza hata kimoja lakini anaitikisa dunia
Watanzania ,tunaonyesha ujinga na upumbafu mkubwa ,kwa kufikiria kuwa kuongea kiingereza ndio maendeleo.Huu ni ujinga mkubwa Sana.Na huu ni aina ya mbegu za ukoloni ,zilizopandikizwa vichwani mwetu.Hata Lissu siku moja nilimsikia kwenye kampeni akibwabwaja kuwa ,baadhi ya wanasheria hawajui kiingereza.Hivi tulilogwa wapi?Labda niwambie kuwa nchi zote zilizoendelea wanatumia zaidi mother tongue.Lugha zao za asili.Mfano China,Korea,Urusi,Japan,Ufaransa,Italy,Hispania.Ujinga wetu ni pale hatutaki kuitumia lugha yetu ,na tunasmini kiingereza.Eti mtu akiongea kiingereza kizuri tunamsifia Sana.Tunasema huyo ndio msomi.Mbona Kuna watu hapa bongo,wanaongea kiingereza kizuri Lakini hawana elimu kabisa.Ila tu wamekaa na waingereza muda mrefu.Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa.
Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu... Tunataka kuwaonesha watu kuwa hata amewahi hojiwa kwa English au akahutubia watu wa English.
Mpaka sasa ni Maraisi wawili tu wamewahi kuongea na Wasomi vyuoni. Mwalimu Julius K. Nyerere na Benjamini Mkapa. Hawa nimewahi wasikiliza. Kwa kweli tunahitaji miaka mingi kupata Marais Smart kama hawa wanaojiamini.
Mkapa hadi Midaharo alikuwa anakubali. Baada ya yeye hakuna ambaye amewahi kukubali midaharo.
Eti "Mdaharo" hahaaa..Jifunze kwanza kuandika kiswahili kabla ya kuleta madai kwamba mtu unahesabiwa kuwa smart kwa kuongea kiingereza.
Ni sweeping statement ya kijinga sana.
Umesema kweli tupu,na umemaliza mjadala.Ni ujinga kupenda lugha isio yako.Lugha ndio utamaduni wako,utapendaje utamaduni usio wako.Tuna
Watanzania ,tunaonyesha ujinga na upumbafu mkubwa ,kwa kufikiria kuwa kuongea kiingereza ndio maendeleo.Huu ni ujinga mkubwa Sana.Na huu ni aina ya mbegu za ukoloni ,zilizopandikizwa vichwani mwetu.Hata Lissu siku moja nilimsikia kwenye kampeni akibwabwaja kuwa ,baadhi ya wanasheria hawajui kiingereza.Hivi tulilogwa wapi?Labda niwambie kuwa nchi zote zilizoendelea wanatumia zaidi mother tongue.Lugha zao za asili.Mfano China,Korea,Urusi,Japan,Ufaransa,Italy,Hispania.Ujinga wetu ni pale hatutaki kuitumia lugha yetu ,na tunasmini kiingereza.Eti mtu akiongea kiingereza kizuri tunamsifia Sana.Tunasema huyo ndio msomi.Mbona Kuna watu hapa bongo,wanaongea kiingereza kizuri Lakini hawana elimu kabisa.Ila tu wamekaa na waingereza muda mrefu.
Wewe mwenyewe kiswahili hujui,umeandika MIDAHARO,ndio kitu gani hicho.Toa ....kilichoko jichoni mwako....Mimi na wewe hatuchekani,kwa kutojua kiswahili.Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa.
Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu... Tunataka kuwaonesha watu kuwa hata amewahi hojiwa kwa English au akahutubia watu wa English.
Mpaka sasa ni Maraisi wawili tu wamewahi kuongea na Wasomi vyuoni. Mwalimu Julius K. Nyerere na Benjamini Mkapa. Hawa nimewahi wasikiliza. Kwa kweli tunahitaji miaka mingi kupata Marais Smart kama hawa wanaojiamini.
Mkapa hadi Midaharo alikuwa anakubali. Baada ya yeye hakuna ambaye amewahi kukubali midaharo.
Alisoma kiingereza Makerere hivyo alikuwa Mtaalamu wa hicho ki-malkia.Mkapa anasifiwa sana humu.
Mambo hayaishii hapo tu Mkuu, sheria zetu ziko kwa lugha ya kigeni zaidi. Na sidhani kwamba ni kosa Lisu kumsema mwanasheria mwenzake kushindwa kuongea kiingereza, maana mengi kwenye kozi zao yanafundishwa kwa kiingereza. Sasa utashangaa alipitia tundu lipi akaukwaa uanasheria. Na si hivyo tuu, msomi ni vizuri akaupinda mgongo afahamu angalau lugha kuu mbili ikiwepo moja ya kigeni. Kwani kiingereza nani alikudanganya ni lugha ya kutisha? Watu waache uvivu. Zipo nchi ukifika unakuta watu wengi wanaongea lugha nne. Niliwahi kufika duka moja uswiss nilipokuwa naulizia bei ya kitu kwa kiingereza, mara akaingia mteja, muuzaji akaanza kuongea naye kifarannsa, mara akaingia mwingine akaanza kuongea naye Kitaliano, mara akaingi mwingine wakaanza kijerumani. Nilipouliza inawezekanaje kirahisi namna hiyo nilijibiwa kuwa nchini mwao hiyo ni kawaida watu huongea lugha nne hadi tano.Tuna
Watanzania ,tunaonyesha ujinga na upumbafu mkubwa ,kwa kufikiria kuwa kuongea kiingereza ndio maendeleo.Huu ni ujinga mkubwa Sana.Na huu ni aina ya mbegu za ukoloni ,zilizopandikizwa vichwani mwetu.Hata Lissu siku moja nilimsikia kwenye kampeni akibwabwaja kuwa ,baadhi ya wanasheria hawajui kiingereza.Hivi tulilogwa wapi?Labda niwambie kuwa nchi zote zilizoendelea wanatumia zaidi mother tongue.Lugha zao za asili.Mfano China,Korea,Urusi,Japan,Ufaransa,Italy,Hispania.Ujinga wetu ni pale hatutaki kuitumia lugha yetu ,na tunasmini kiingereza.Eti mtu akiongea kiingereza kizuri tunamsifia Sana.Tunasema huyo ndio msomi.Mbona Kuna watu hapa bongo,wanaongea kiingereza kizuri Lakini hawana elimu kabisa.Ila tu wamekaa na waingereza muda mrefu.
Wewe mwenyewe uko fluent kiingereza ?Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa.
Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu... Tunataka kuwaonesha watu kuwa hata amewahi hojiwa kwa English au akahutubia watu wa English.
Mpaka sasa ni Maraisi wawili tu wamewahi kuongea na Wasomi vyuoni. Mwalimu Julius K. Nyerere na Benjamini Mkapa. Hawa nimewahi wasikiliza. Kwa kweli tunahitaji miaka mingi kupata Marais Smart kama hawa wanaojiamini.
Mkapa hadi Midaharo alikuwa anakubali. Baada ya yeye hakuna ambaye amewahi kukubali midaharo.
haya wew timamu nan maana ndyo rais hvyoNinaelewa Mkuu, hususan suala la Uchumi linafanya wengine waunge ..
Ila kwa huyu haipo ivo, uwezo wa kusomeshwa popote ulikuwepo, ILA KILAZA.
Mwachen Mwendazake apumzikie, Mwamba alikua Genius!!.
Keshakufa atiMkapa anasifiwa sana humu.