Ni sahihi πŸ€“
 
Kweli good people are still alive
Wazee wa zamani waliona mengi kwaio kijana anacho kueleza ndugu yangu Gily ni ukweli mtupu so keep in Mind..
So siku zote ishi kuwa prove watu wrong....
Naamin Good people are still alive....
Kweli Good people are still alive
 
Kila la kheri mkuu ,matajiri wenye bajaji hawatakupita hv hv...
 
Bodaboda kuna kitu wanaita "change kota", unamkabidhi chombo brand new then anachoenda kukifanya sasa, ukirudi kesho unaweza ukaikataa pikipik yako. Wanabadilisha matairi, ngao, carrier, tank la mafuta wanaweka vya zamani hivyo vipya wanauza.
 
Ulishawahi kupewa Bajaj au pikipiki ya mkataba?
 
Hivi ukipewa bajaji na kijiweau route unatafutiwa au unajitafutia?
 
Kwenye uzi wako ongeza na wadhamini kama huna kawatafute utapata chap haja ya moyo wako.
 
Gari vp!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…