Bodaboda kuna kitu wanaita "change kota", unamkabidhi chombo brand new then anachoenda kukifanya sasa, ukirudi kesho unaweza ukaikataa pikipik yako. Wanabadilisha matairi, ngao, carrier, tank la mafuta wanaweka vya zamani hivyo vipya wanauza.
Mtu mwenye makundi na kusiliza maamuzi na mawazo ya vikundi huwapa kipaumbele kwa watachokisema nae hufatisha umo
 
Hii ni kweli niliwai kua na dereva wangu wa fuso, alikua mwanzoni hesabu inafika vizuri kabla ya safari yoyote anakwambia na kuomba go ahead yako.

Baadae ata mshahara anasema kaa nao tuu bossy ntachukua mwisho wa mwezi unaofata. Siki ya siku niko road naoga gari inapakia mkoa. Kupiga simu anasema yeye kapaki sehemu nyingine anapumzika kurudi kijiweni.

Alikua dereva mzuri sana
 
Kama kweli muaminifu temeke nzima umekosa bajaji mpaka uje hapa?
 
Naomba kukushauri kitu,ikiwa kama utapata kwa mtu yote kheri ila ushauri wangu ni kwamba kama una laki tatu na tin no nenda watu wakakukopeshe bajaji wapo hapo tandika majaribio
 
Kama kweli muaminifu temeke nzima umekosa bajaji mpaka uje hapa?
Ndo maana nimekuja uku!
Na kwenye kutafuta si pakuangalia tu sehemu moja inabidi utazame na upande wa pili
 
Naomba kukushauri kitu,ikiwa kama utapata kwa mtu yote kheri ila ushauri wangu ni kwamba kama una laki tatu na tin no nenda watu wakakukopeshe bajaji wapo hapo tandika majaribio
Hawezi kuwa na driving license akakosa TIN.

HIZO BAJAJI ZA LAKI TATU NI MPYA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…