Mungu akakusimamie mpambanaji
 
Naomba kukushauri kitu,ikiwa kama utapata kwa mtu yote kheri ila ushauri wangu ni kwamba kama una laki tatu na tin no nenda watu wakakukopeshe bajaji wapo hapo tandika majaribio
Bajaji ni 1m sio laki 3 mkuu
 
Kama ulienda ukauliza na wakakujibu hivyo sawa lkn kama umesikia kwa watu nenda ukaulize upate uhakika
Mimi ni mnufaika ndugu yangu...piki piki yangu ninayoendesha nimechukua kwao ni boxer 125 imenigharimu 400,000/= Watu...nawafahamu vizuri wapo mwenge mpakani Kwa 300,000/= anaweza kupata labda tvs 125
 
Upo tayari hata mikoa jirani na dar es salaam
 
Ukipata na mimi nahitaji iwe bajaji au gari.
 
Mwaga maelezo vzr mkuu
Wenye shida tupo wengi
Wanakopesha kwa namna gani,Kuna riba?
Mkopo ni WA muda gani?
Ndio mkopo wao una riba Kwa Mimi wa piki piki boxer 125 nimechukua Kwa laki 4 ila Kila wiki narejesha shilingi 60500/= Kwa muda wa miezi 15...hivyo hapo ukipiga hesabu utapata riba Yao baada ya kutoa bei harisi ya piki piki...uzuri wa hao watu ukiwa na kianzio wanacho kitaka piki piki unapata muda huo huo...!
 
Nikikupa Bajaj unaleta shilingi ngapi kwa siku
 
Naomba msaada wenu wa kupata bajaji ya kufanyia kazi kwa umakini na uaminifu. Ninahuitaji kwa kweli
 
Unapatikana dar sehemu gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…