Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam

Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili

Mapendekezo
-Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya dini

Mawasiliano
-Nitumie ujumbe Inbox ✉️
 
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam

Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili

Mapendekezo
-Napendekeza awe Mkristo ili tusiishi naye ndani ya familia kwa kukinzana katika imani ya dini

Mawasiliano
-Nitumie ujumbe Inbox ✉️
Wa umri gani? Sheria za uajiri zinasemaje?
 
Niliwahi kupewa house girl ana miaka 18 mzuri kweli kweli, tena mama mtu ndio alitaka kunikabidhi. Yule ilikuwa suala la muda tu nimgeuze kuwa mke. Kabla hata hajaanza kazi kwangu kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akaenda kunipiga fitina kwa mama mtu akamchukua yeye yule binti.

Yule mfanyakazi mwenzangu mpaka leo hajajua namna gani namchukia tu, namchekea usoni lakini moyoni silipendi, jitu lilishashindwa maisha yake linakuja kuvuruga opportunity za wengine.
 
Naposema natafuta housegirl mm sio kichaa namaanisha, mambo ya mshahara nitajadili naye, msichukulie mzaha kila jambo
wewe ni kichaa binti mdogo anatakiwa awe shule na awe chini ya uangalizi wa wazazi au walezi sasa wewe ni kichaa utamtesa au kumuharibu kisaikolojia, tafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 20 kwenda mbele ikiwezekana awe mwenye mtoto.
 
Niliwahi kupewa house girl ana miaka 18 mzuri kweli kweli,tena mama mtu ndio alitaka kunikabidhi. Yule ilikuwa suala la muda tu nimgeuze kuwa mke. Kabla hata hajaanza kazi kwangu kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akaenda kunipiga fitina kwa mama mtu akamchukua yeye yule binti. Yule mfanyakazi mwenzangu mpaka leo hajajua namna gani namchukia tu,namchekea usoni lakini moyoni silipendi,jitu lilishashindwa maisha yake linakuja kuvuruga opportunity za wengine.
Mbona alikurahisishia kazi.Kwa nini hukuendelea na road-map yako.Si ungemtaka awe mkeo hapohapo kwa huyo dada?Umeniangusha sana kimedani mkuu.Siamini uzembe ulianzaje!
 
Back
Top Bottom