Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Sawa mkuu, ila ukisema mtoto, wengi watarejea umri uliopo chini ya sheria
Hapana mdogo kwa mana kwamba hakuna kazi nyingi wala ngumu za kuhitaji mtu mzima na hata kama ni mdogo hakuna changamoto zozote zitakazomkumba atakuwa sehemu salama sana
 
Kwani kumuoa mwanamke ndio ukatili? Kumuoa si ndio unakua umemstiri kenge mkubwa wewe! Dada wa kazi ni binaadamu wape heshima zao na kuolewa ni baraka sio kwamba wao sio binaadamu hawawezi kuolewa!
Naomba tuishie hapo maana huelewi tunachopinga! Umeona kuna mahali nimesema house girl asiolewe? Inaonekana huna uelewa wowote kuhusu PSEA! Samahani sana!
 
Niliwahi kupewa house girl ana miaka 18 mzuri kweli kweli,tena mama mtu ndio alitaka kunikabidhi. Yule ilikuwa suala la muda tu nimgeuze kuwa mke. Kabla hata hajaanza kazi kwangu kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akaenda kunipiga fitina kwa mama mtu akamchukua yeye yule binti. Yule mfanyakazi mwenzangu mpaka leo hajajua namna gani namchukia tu,namchekea usoni lakini moyoni silipendi,jitu lilishashindwa maisha yake linakuja kuvuruga opportunity za wengine.
Hahaaaaa
 
Back
Top Bottom