Wa umri gani? Sheria za uajiri zinasemaje?Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili
Mapendekezo
-Napendekeza awe Mkristo ili tusiishi naye ndani ya familia kwa kukinzana katika imani ya dini
Mawasiliano
-Nitumie ujumbe Inbox ✉️
Aandae na slip kabisa. Asilete ujanjaujanja hapa.Salary scale yako ikoje??
Subiri aje kutoa ufafanuzi mdogo anamaanisha umri gani.Mdogo afue nguo za watu wawili ??
Kufua nguo za wanaume ni kazi kubwaNyumba inaishi watu wawili
wewe ni kichaa binti mdogo anatakiwa awe shule na awe chini ya uangalizi wa wazazi au walezi sasa wewe ni kichaa utamtesa au kumuharibu kisaikolojia, tafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 20 kwenda mbele ikiwezekana awe mwenye mtoto.Naposema natafuta housegirl mm sio kichaa namaanisha, mambo ya mshahara nitajadili naye, msichukulie mzaha kila jambo
Mbona alikurahisishia kazi.Kwa nini hukuendelea na road-map yako.Si ungemtaka awe mkeo hapohapo kwa huyo dada?Umeniangusha sana kimedani mkuu.Siamini uzembe ulianzaje!Niliwahi kupewa house girl ana miaka 18 mzuri kweli kweli,tena mama mtu ndio alitaka kunikabidhi. Yule ilikuwa suala la muda tu nimgeuze kuwa mke. Kabla hata hajaanza kazi kwangu kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike akaenda kunipiga fitina kwa mama mtu akamchukua yeye yule binti. Yule mfanyakazi mwenzangu mpaka leo hajajua namna gani namchukia tu,namchekea usoni lakini moyoni silipendi,jitu lilishashindwa maisha yake linakuja kuvuruga opportunity za wengine.
Usidhani kila anaekaa na mfanyakazi anamtesawewe ni kichaa binti mdogo anatakiwa awe shule na awe chini ya uangalizi wa wazazi au walezi sasa wewe ni kichaa utamtesa au kumuharibu kisaikolojia, tafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 20 kwenda mbele ikiwezekana awe mwenye mtoto.
Oooh, kwa hyo hata uliposema chakula pia hukumuhesabu yeye si ndio? kwa hiyo atakula wapi mtoto wa watu?Mbona kama una tatizo la uelewa naposema nguo za watu wawili sijamjumuisha yeye
Ningesema watatu inamana angedhani familia ina watu watatu pamoja na yeye wa nne, sikumjumuisha ili atambue mazingira ya kazi yakojeOooh, kwa hyo hata uliposema chakula pia hukumuhesabu yeye si ndio? kwa hiyo atakula wapi mtoto wa watu?
Amen.Tunamuombea apate house girl