Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Huyo mfanyakazi mwenzako alikukataza kumuoa huyo binti?

Kama ulitaka kumuoa akiwa mfanyakazi wako wa ndani, ulishindwa nini kumuoa akiwa mfanyakazi wa ndani wa workmate? Huoni kama unatuletea ukichaa
 
Huyo mfanyakazi mwenzako alikukataza kumuoa huyo binti?

Kama ulitaka kumuoa akiwa mfanyakazi wako wa ndani, ulishindwa nini kumuoa akiwa mfanyakazi wa ndani wa workmate? Huoni kama unatuletea ukichaa
wewe ni mwehu nini? unajua kaenda kufanyia kazi wapi? unajua mi naishi wapi? Unajua chemistry ya awali ilikuwaje?
 
Jana nimeenda kutembelea sehemu nimekuta house girl mbichii kifuani saa sita nilijikuta napatwa na wivu
Ukiwa na mfanyakazi usipomtamani mtaenda vizuri ila ukishaingiza mapenzi unaharibu, mm mfanyakazi hata awe mwarabu sihangaiki nae kama ni mapenzi ni nje ya familia ila sio ndani, familia ukishaingiza mapenzi unaharibu
 
wewe ni mwehu nini? unajua kaenda kufanyia kazi wapi? unajua mi naishi wapi? Unajua chemistry ya awali ilikuwaje?
Basi hukumpenda ni nyege tu na mihemko ya ukaribu nae. Ungekuwa umemuoa ukapata deal la maana ila mkoa wa mbali ungemuacha ukaenda kufanya kazi.
 
Dah ulipokonywa mke jamaa yangu
 
Ujue Leo nilikua sina ratiba ya kucheka🤠🤠🤠🤠🤠🤠
 
Dah,
• Kufua nguo za wawili,
• Kupika chakula cha wawili,
yaani wewe na yeye.
• Awe Mkristo.

Hili tangazo la kujipatia mke bila usumbufu na gharama nyingi limekaa kimkakati sana broo
 
Dah,
• Kufua nguo za wawili,
• Kupika chakula cha wawili,
yaani wewe na yeye.
• Awe Mkristo.

Hili tangazo la kujipatia mke bila usumbufu na gharama nyingi limekaa kimkakati sana broo
Niliposema wawili sikumjumlisha na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…