Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Sawa mkuu, ila ukisema mtoto, wengi watarejea umri uliopo chini ya sheria
Hapana mdogo kwa mana kwamba hakuna kazi nyingi wala ngumu za kuhitaji mtu mzima na hata kama ni mdogo hakuna changamoto zozote zitakazomkumba atakuwa sehemu salama sana
 
Kwani kumuoa mwanamke ndio ukatili? Kumuoa si ndio unakua umemstiri kenge mkubwa wewe! Dada wa kazi ni binaadamu wape heshima zao na kuolewa ni baraka sio kwamba wao sio binaadamu hawawezi kuolewa!
Naomba tuishie hapo maana huelewi tunachopinga! Umeona kuna mahali nimesema house girl asiolewe? Inaonekana huna uelewa wowote kuhusu PSEA! Samahani sana!
 
Hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…