Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madomo zege hawaNdo unataka kuoa kijanja hivyo?
Mimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Mimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Domo zege pro max at your service
Binti awe around age ipi?
Mjomba fuata Utaratibu.......
Ndo unataka kuoa kijanja hivyo?
😅😅😅Anataka kula mbususu tuu hapo ...hamna cha ndoa
si utafuta nduguyo wa kike kama unavyotaka ama kijana wa kiume asimamie mali na nyumba,ama wewe umezaliwa pekeyako hapa dunianiWakuuuu mmekuza mada shezi kabisa nataka binti kwa ajili ya usalama wa mali zangu nikiondoka sitaki mwanaume
Aisee kimasihara imehamia huku at the end mke kabisa na ela ya matumizi ataachiwaMimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Kimasihara ulimi mzito labdaAnataka kupita shortcut....
Aombe tu vizuri, mbona wanatoa.
HahahahNdo unataka kuoa kijanja hivyo?
Anaruhusiwa kuingiza mtu wake?Wakuuu habarini.
Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia. Umri wangu miaka 34. Nimefanya hivyo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
km ni usalama wa vtu vyake kwnn kigezo kiwe bint aseme mwanamke asie na familia hata jmama poaUsalama wa vitu vyake[emoji28]
Kwan Binti ni mzee?Kwanini unataka lazima mpangaji mwenzio awe ni binti na sio kijana.
Muhuni huyo anatafuta madem kwa njia ya megendo!Mtoa mada huko alipo atakua anajuta kuleta bandiko lake hapa[emoji16][emoji16]
Kijana maana ake wakiume[emoji4]Kwan Binti ni mzee?
HahaaMuhuni huyo anatafuta madem kwa njia ya megendo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Janja ya nyani hii