Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

Toeni ushauri mzuri kwa kijana. Hata mimi nahitaji wawili umri miaka 18-28 wataishi bure hapa Masaki.
 
Mimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Mimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Domo zege pro max at your service

Binti awe around age ipi?
Mjomba fuata Utaratibu.......
Ndo unataka kuoa kijanja hivyo?
Anataka kula mbususu tuu hapo ...hamna cha ndoa
😅😅😅
 
Wakuuuu mmekuza mada shezi kabisa nataka binti kwa ajili ya usalama wa mali zangu nikiondoka sitaki mwanaume
si utafuta nduguyo wa kike kama unavyotaka ama kijana wa kiume asimamie mali na nyumba,ama wewe umezaliwa pekeyako hapa duniani
 
Mimi siyo mtabiri ila hapo badaye huyo binti atakuwa halipi hiyo pesa ya pango badala yake wewe ndo utacha kodi ya meza...
Aisee kimasihara imehamia huku at the end mke kabisa na ela ya matumizi ataachiwa
 
Wakuuu habarini.

Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu.

Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia sebule yangu akihitaji bcoz mimi sina pia familia. Umri wangu miaka 34. Nimefanya hivyo kwasababu ya usalama mimi ni mtu wa kusafiri sana.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Anaruhusiwa kuingiza mtu wake?
 
Back
Top Bottom