aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
unanijali sana mkewangu lakini kwasasa sitaki kuongeza mke wewe unanitoshaNiko tayari niungane nawewe ili nimfurahishe mume wangu aliekatakamba humutuu kwa ajili yako nikubalie niwe mke mwenzio
😆😆😆 ndiyo nilitaka nikutagWakuu huyu niacheni leo nimekidhi vigezo.
mmwaaaaaaa babyy mzuriiiimumewangu mmmmwaaaaaaaaaaaa
Fursa kama hizi inatakiwa uwatag moderator wafunge comment section ili kina tareek wasisumbue😆😆😆 ndiyo nilitaka nikutag
Mali mpya mali ulaya 😀😃, ni wewe tu kufanya mpango chap kwa harakaFursa kama hizi inatakiwa uwatag moderator wafunge comment section ili kina tareek wasisumbue
Nyeto inaenda kupata mpinzaniDah hatimaye Mungu amenipa mke
Daah.. hiki kigezo kimenikosesha fursa 🤔Awe mweupe au maji ya kunde
Mungu n mkubwa sana mkuu, ngoja niende pmNyeto inaenda kupata mpinzani
Mambo, naomba unichek pm mana mm nashindwa kuanza kukuchek naona pm yangu haipo SawaHabari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
Usianze na "imethibitishwa Xy2Gf45..." maana mimi mwenyewe nipo naeleza sera zanguMungu n mkubwa sana mkuu, ngoja niende pm
Ah mhusika ataangalia wap n sahihiUsianze na "imethibitishwa Xy2Gf45..." maana mimi mwenyewe nipo naeleza sera zangu
Una akili. Nashauri uanzishe uzi kabisa watu wajue.Tahadhari Kabla ya Hatari:-
Kwa majira ya sasa kama wee ni mkosoaji wa mafisadi tuliza upwiru kwanza.
Utazama PM kichwa kichwa kumbe ni mtego wa panya, afu wanachambua na kutengeneza listi huko, anakuwa anadakwa mkosoaji mmoja baada ya mwingine kimya kimya..
Scott junior Acha ndugu yangu kulila lia. Mchuchu kajileta huyu hapa. Ruka naye. Ref: Nyumbani wamenipa 2 yrs nipeleke babe mamaHabari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k
Sifa zangu.
Najishughulisha
Mpole
Siyo muongeaji sana
Mkweli na muwazi
Kimo cha kawaida
Rangi maji ya kunde
Mwili wa kawaida
Sifa za rafiki nimtakaye
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Asiwe muongeaji sana
Urefu wa wastani
Awe mweupe au maji ya kunde
Akiwa na hofu ya Mungu itapendeza zaidi.
Kama ni mnywaji awe anakunywa wastani siyo ulevi wa kupindukia.
Awe mkazi wa Dar
Asiwe ameoa
Karibu PM kama upo serious na interested.
23 beautiful years old,Miaka Yako kwanza tafadhalii😁