Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
yaani huna hata nukta ya uwezo kubishana na mimi kwenye hilo, sihitaji hata kupoteza muda wangu wa thamani na wewe.Nimekupa Aya kutoka kwenye kitabu chenu halafu wewe unaniletea hizi hadithi za Sungura na Fisi?
Sina hata haja ya kusoma huu utumbo ulioupost hapo,
Wake up ili uutambue ukweli,acha kukaririshwa vitu ambavyo havipo.