Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

Nimekupa Aya kutoka kwenye kitabu chenu halafu wewe unaniletea hizi hadithi za Sungura na Fisi?

Sina hata haja ya kusoma huu utumbo ulioupost hapo,
Wake up ili uutambue ukweli,acha kukaririshwa vitu ambavyo havipo.
yaani huna hata nukta ya uwezo kubishana na mimi kwenye hilo, sihitaji hata kupoteza muda wangu wa thamani na wewe.
 
Nimeacha ndio maana natafuta dawa
Sawa umeacha je hautumii dildo kama mbadala ?

Maana huwenda bado unaendelea kwa namna nyingine ambayo ndio inakuletea maumivu.

By the way michubuko hiyo inaweza kusaabishwa na kinyesi kigumu japokuwa ni nadra sana kinyesi kigumu kuwaumiza mashoga kwani njia yao tayari ni kubwa wengi wao kama tu waliingiliwa na wanaume wa size tofauti.
 
yaani huna hata nukta ya uwezo kubishana na mimi kwenye hilo, sihitaji hata kupoteza muda wangu wa thamani na wewe.
Huna unalolijua ila umekaririshwa vitu usivyovijua,nimekuwekea Aya,ulitakiwa ujibu kwa mujibu wa maandiko,uweke na ushahidi hapa,sio kuniletea story ulizolishwa huko unapouziwa chumvi na mafuta ya upako.
 
Sawa umeacha je hautumii dildo kama mbadala ?

Maana huwenda bado unaendelea kwa namna nyingine ambayo ndio inakuletea maumivu.

By the way michubuko hiyo inaweza kusaabishwa na kinyesi kigumu japokuwa ni nadra sana kinyesi kigumu kuwaumiza mashoga kwani njia yao tayari ni kubwa wengi wao kama tu waliingiliwa na wanaume wa size tofauti.
Hapana situmii dildo na sijawahi kutumia
 
Back
Top Bottom