Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

haahaahaahaa! wavulana wa dar bhana mnanifurahisha sana
 
Waambie hao.
 
Tanzania ya viwanda tutaifikia kweli na vijana wenyewe utindio ubongo kama hawa mmmh mungu tusaidie
 
njoo pm tuyajenge uskonde hata mahari ntakupa mkopo wenye masharti nafuu
 
Wenzio wanafika KIBO na MAWENZI kule Mount kilimanjaro,weee unawaza k
 
Mwanamme kujitangaza anataka kulelewa na mijimama,kazi yake ni kumpikia jimama na kumfikisha kileleni.
Ingekuwa n tangazo, ningepost kwny jukwaa la Matangazo Madogo madogo..kwahyo kwasasa ww ndo hujielewi.
 
Ungebaki na huyo huyo make wanawake siku hizi hatutaki ujinga!! Kwann mliachana kama ulikuwa unamhudumia vizuri!! Wajinga kama huyo wachache sana raha ya mwanaume aonyeshe uanaume wake buana!!
 
Ungebaki na huyo huyo make wanawake siku hizi hatutaki ujinga!! Kwann mliachana kama ulikuwa unamhudumia vizuri!! Wajinga kama huyo wachache sana raha ya mwanaume aonyeshe uanaume wake buana!!
Wewe ni wangapi wamekuacha hadi uninyooshe kidole mm?? pia sababu ya kuachana nimeiandika..sasa sijui Punguani ni nani kati yetu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…