Natafuta kazi ya uchungaji

Natafuta kazi ya uchungaji

Mkuu niweke wazi

Je wewe ni Mbahai?
Mimi ni triniterian. kwa kuwa u umeomba kazi ya uchungaji nami nikataka kujua ikiwa unakijua vyema unachokitafuta.
Katika miangaiko yangu ya kila siku nimewahi kutana na wakristo hawajui trinity, hcho ndicho kimenifanya nikuulize hilo swali.
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi

Uchungaji siyo kazi ni huduma!
 
Back
Top Bottom