Ibrahim hamadi
Member
- May 2, 2024
- 21
- 10
Hello..Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba msada wenu ukinisaidia namini umesaidia familia yangu pia na watu wanao nizungumka.
Naomba msaada wenu, namba zangu za simu
0658673259
0658673259
Nitashukuru sana Kwa msada wenu.
Asnte AminMungu akutangulie kwa kweli
AsnteUtapata tu kaka
Mkuu hawana emal nyingine ...ama wanapatikana wap?Pitia Mabumbe .com wamepost kazi za udereva nyingi tu.