Natafuta kazi ya Udereva
Habar za muda huu
Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kaz bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayar hata kuendesha gar binasfii Niko tayar naombagani ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano
0658673259
0658673259
Ili gari iwe uber au bolt,ni ya mwaka gani,na 1we gari aina gani,gari kama virukuu,,vile kama hiace,inakubalika?
 
Sio kwa umuhimu lakini:-
Kwanini uliacha huko ulipo patia experience kabla haujapata bolt nyingine?

Na kama kwasasa upo tayari "hata" kuendesha gari binafsi, hapo kabla haukua na utayari?

Otherwise nikutakie kila la kheri ufanikiwe boss.
 
Kweli una shida mkuu coz umeanza kusalimia kwenye heading ya Uzi mpaka kwenye content,

Mungu akusaidie Mkuu.
Hii ni asili yetu hakuna cha bure hata salamu ni mbegu anaweka anaona Kama itaota kwa kuwa na moyo wa huruma ,ama upendo yaani huwa inakubadilisha hisia unashangaa umefanya jambo. Watu wanasemaga mjini salamu ndio bure Ila nawaambia watu kuwa hata salamu sio ya bure ina lake jambo,mfano mtu anataka akuulizie njia ama kitu akapotea. Ndio mana mie ukiwa unanisalimia nikajua shida yako Kama ni njia nakuelekeza huku nikiipotezea salamu yako.
Sihitaji unilainishe moyo wangu ili niweze kukufanyia jambo Fulani. I do it regardless your salamu.

Everything in this universe is just transactions or trading whether you accept or not.
Mwanamke anakupa sex wewe unampa mahitaji yake muhimu Kama kula kulala mavazi matibabu.
Ndio mana asipoyapata hayo anasogea pengine mbona ng'ombe ama wanyama wanahamia penye majani mazuri hata inzi wenyewe ukiwa huna kidonda ama uchafu huwaoni so unadhani binadamu mwenye akili kubwa kuliko viumbe wote.
Hata Ile mwanamke anaambiwa kuwa nakupenda hakuna cha upendo Bali mtu anataka apate sex toka kwake.
 
Sio kwa umuhimu lakini:-
Kwanini uliacha huko ulipo patia experience kabla haujapata bolt nyingine?

Na kama kwasasa upo tayari "hata" kuendesha gari binafsi, hapo kabla haukua na utayari?

Otherwise nikutakie kila la kheri ufanikiwe boss.
Amin
 
Habar za muda huu
Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kaz bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayar hata kuendesha gar binasfii Niko tayar naomba ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano
0658673259
0658673259
Umri tafadhali
 
Back
Top Bottom