Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu
Kama huna watu basi omba sana halafu soma sana then nafasi zikitoka omba usiogope, cha mwisho usihofu kufanya kazi nje ya taaluma yako ilimradi si kazi ya kuutweza utu wako pamoja na afya yako maana unajitafuta Bado...nakutakia mafanikio mema.
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi 0713776534
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu natafutaa kazi 0713776534
 
Back
Top Bottom