Natafuta kazi

leham

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
13
Reaction score
16
Habari za muda huu ndugu zangu,

Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu

Kuhusu elimu pia nimesoma hadi kidato cha sita na niko vizuri katika kuongea lugha ya kingereza

Nahitaji kibarua chochote or ajira yoyote nitashukuru sana kama nitafanikiwa inshaaAllh.

Asanteni sana kwa mwenye msaada wowote na mimi usiisite kuni PM. Muwe na na mjukumu mema🙏
 
Nakuombea Mdogo wangu, safari ya kutafuta ajira yamhitaji Mungu, Kuna watu wabaya sana ulimwenguni huu kwa wa Dada wanao struggle kutafuta kazi, Mtangulize Mungu, Linda utu wako
 
Amiin inshaaAllh kaka asante sana for ur wise words🙏
 
Back
Top Bottom