Awe Amekuja Dar Es Salaam Na Adventure, Saratoga, Ntomola, Arizona. Ikishindikana Treni (Gari Ya Taa Moja)Mpaka awe mametokea kigoma ndo anapata kazi
Hata ningekuwa mimi kilimanjaro hapanaNi kwa nini Kigoma? Kilimanjaro vipi?
Vile matapeli tunawahi pm kwako kwa haraka kuja kula hiyo nauli ya bure๐๐๐
View attachment 1989790
Taarifa fupi ya kazi husika ni IPi mkuuHabari za leo wadau.
Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe;
1. MUAMINIFU,
2. mcha MUNGU
3. MKWELI na
4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI
Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi.
Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku.
Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926.
Asanteni sana.