Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

DKNY

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
30
Reaction score
10
Habari za leo wadau.

Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe;

1. MUAMINIFU,
2. mcha MUNGU
3. MKWELI na
4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI

Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi.

Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku.

Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926.

Asanteni sana.
 
Vile matapeli tunawahi pm kwako kwa haraka kuja kula hiyo nauli ya bure😁😁😁
AAP5rQ.jpg
 
Kilimanjaro ni wachapa kazi, hawana uswahili, ila usimdhulumu kwani utaimba Alleluya isiyo na mwisho.
 
Habari za leo wadau.

Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe;

1. MUAMINIFU,
2. mcha MUNGU
3. MKWELI na
4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI

Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi.

Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku.

Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926.

Asanteni sana.
Taarifa fupi ya kazi husika ni IPi mkuu
 
Back
Top Bottom