Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
598
Reaction score
798
Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo.
6359d998-9abe-49f6-bbc5-dbf6cb63e80a.jpeg
79c61d55-d231-40c2-b92a-f3a854c1b1b8.jpeg


Nicheki pm tufanye biashara.
 
Ukisikia bei nzr!! Ndugu jitafalali.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mbona bei imepanda sana mkuu? Mbona wakenya wananunua kwa kilo moja 500Tsh?
hawa wakenya wanaokuja saiz ni wezi tu,manake wananunua hizo parachichi kama reject ndio maana bei wanashusha mnoo...kipindi cha msimu wenyewe ule mwezi wa 9,11,1 wa 2 bei huwa zaidi ya 1600/kg! Sasa hawa wakenya kipindi cha mavuno mazuri wanakimbia wanakuja kununua kipindi ambacho mkulima anahitaji kuyatoa tu ili yaote mengine...mwaka huu wamenitia sana hasara nimeuza kwa 700tshs/kg...ila natafuta connection nianze ku export mwenyewe,ngoja nikae sawa
 
Sema unanunua bei gani.... Tani 1 ni kilograms 1000...... Je, wewe kilo Moja unanunua bei gani??
 
hawa wakenya wanaokuja saiz ni wezi tu,manake wananunua hizo parachichi kama reject ndio maana bei wanashusha mnoo...kipindi cha msimu wenyewe ule mwezi wa 9,11,1 wa 2 bei huwa zaidi ya 1600/kg! Sasa hawa wakenya kipindi cha mavuno mazuri wanakimbia wanakuja kununua kipindi ambacho mkulima anahitaji kuyatoa tu ili yaote mengine...mwaka huu wamenitia sana hasara nimeuza kwa 700tshs/kg...ila natafuta connection nianze ku export mwenyewe,ngoja nikae sawa
Mi niko Arusha na hawa wakenya na dili nao kwa mazao mengine. Sasa huu mchongo wa parachichi wananunua reject kwa kilo 500Tsh. Wanataka hata tani 10 kwa siku.
 
Back
Top Bottom