Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,765
- 6,726
Sawa! All the bestMi niko Arusha na hawa wakenya na dili nao kwa mazao mengine. Sasa huu mchongo wa parachichi wananunua reject kwa kilo 500Tsh. Wanataka hata tani 10 kwa siku.
Sawa! All the bestMi niko Arusha na hawa wakenya na dili nao kwa mazao mengine. Sasa huu mchongo wa parachichi wananunua reject kwa kilo 500Tsh. Wanataka hata tani 10 kwa siku.
Wacheki @avolioavacadooil.Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. View attachment 3348504View attachment 3348505
Nicheki pm tufanye biashara.
Hao Wakenya wako wadwanzi tu,utanunua vipa avo hata kama ni reject kwa kilo mia5?Sasa hiyo kilo ya reject si bora ukamue mafuta hata local way utapata zaidi ya mia5.Sumtime na nyie wakulima muamshe akili zenu siyo kila kitu mnauzia njaa tu.Mi niko Arusha na hawa wakenya na dili nao kwa mazao mengine. Sasa huu mchongo wa parachichi wananunua reject kwa kilo 500Tsh. Wanataka hata tani 10 kwa siku.