Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

Nimechanganyikiwa kichizi, Bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati
Chakula kinapita mdomoni, wewe unataka ukakitolee tumboni?
 
Ipi hiyo mkuu

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
IMG-20220721-WA0263.jpg
IMG-20220721-WA0262.jpg
 
Fanya mazoez, kunywa konyagi, kvant, valeau.
Ukiona hupungui basi kunywa gongo ama pombe kali za kimalawi.

Ukizihitaji za malawi nicheki nikutumie kwa ghara ndogo
 
Back
Top Bottom