Wapo nasema wapo na nina wajua personally Yani.Huyo hajui anazungumza nini achana naye, huwezi kusoma udaktari Tanzania una division 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo nasema wapo na nina wajua personally Yani.Huyo hajui anazungumza nini achana naye, huwezi kusoma udaktari Tanzania una division 3
Sasa hao matabibu si wanakujaga ku upgrade wanakuwa ma MD. Wapo wengi tu. Ma failure.Tofautisha Daktari ( Bachelor of Doctor of Medicine) na Tabibu ( Clinical Officer- diploma) usichanganye mambo hapa. Tukiongelea Daktari tunaongelea mtu wa Degree , sio watu wa Nacte huko matabibu.
Wamesoma Tanzania? Umeisoma TCU guideline ya kusoma MD inataka mwisho alama gani?Wapo nasema wapo na nina wajua personally Yani.
Wamesoma sana tu , guideline ya lini? Utakuwa mtoto wa jana wewe.Wamesoma Tanzania? Umeisoma TCU guideline ya kusoma MD inataka mwisho alama gani?
Wamesoma sana tu , guideline ya lini? Utakuwa mtoto wa jana wewe.
Wewe ni mtoto wa juzi. Ndio nakueleza sasa, hivo vigezo ni vya juzi juzi, na kimsingi Tanzania yetu kama huijui utapata tabu sana. Wapo kibao kwa taarifa yako.Soma hiyo guideline ya TCU wacha kukaza kichwa. Hizo division 3 kusoma MD labda miaka ya 2012 kurudi nyuma ambapo hakukuwa na ushindani mkubwa.
Halafu mimi siyo mtoto wa jana, sitaki tu kujielezea humu. Sikuhizi bila division one kali husomi udaktari hapa Tanzania, japo vigezo vinataka mwisho two ya 12
Waliopata division 3 na kusoma MD walikuwa wanaruhusiwa zamani, wanafunzi walikuwa wachache na ushindani ulikuwa mdogo, kipindi hiki bila one kali hutoboi.Wewe ni mtoto wa juzi. Ndio nakueleza sasa, hivo vigezo ni vya juzi juzi, na kimsingi Tanzania yetu kama huijui utapata tabu sana. Wapo kibao kwa taarifa yako.
Watu wa zamani waliopata division two na three, kwa sasa ni mabingwa wengine wapo Muhimbili, wanafanya wonders hadi watu wa nchi jirani wanakuja kutibiwa Tanzania.Waliopata division 3 na kusoma MD walikuwa wanaruhusiwa zamani, wanafunzi walikuwa wachache na ushindani ulikuwa mdogo, kipindi hiki bila one kali hutoboi.
Namimi sikulazimishi kuamini kuwa mimi siyo mtoto wa juzijuzi, haitanibadilisha chochote. Heshimu kazi ya kila mmoja, wacha dharau.
MaviWatu wa zamani waliopata division two na three, kwa sasa ni mabingwa wengine wapo Muhimbili, wanafanya wonders hadi watu wa nchi jirani wanakuja kutibiwa Tanzania.
Na historia ya taifa naijua kjn, yaani usimchukulie poa usiyemfahamu.
Sasa teacher unakataa nnMavi
Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
Huyo kama siyo taahira basi ni ndondocha, naona achaneni naye tu. Kwanza kama unasoma ili uajiriwe Kisha uwe tajiri, basi umepotea.Katika mafala wewe ni fala namba moja
Nadhani alichosoma yeye nadhani waweza kujiajiri zaidi ya ulichosoma wewe, shida ni mentality tu.Vijana wenzio wanasoma vitu ambavyo unaweza kujiajiri. Wewe ukachagua usaa na damu. Sasa mpo wengi kama sisimizi. Kazi ya kudharauliwa kama ualimu. Pole. Ila pambana.
Bro, nani ni tajiri TRA? Unless kwako utajiri ni kuiba.Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
Hawaelewi, ndio maana tunawaambia wapo madaktari kibao wenye hizo division 3. Walienda wakawa ma co alafu waka upgrade.labda huelewi kwamba CO anawezakuja kuwa MD kwa vigezo nilivyo vitaja
Mtaani hawana muda wa kujua umetoa wapi, chapa maghorofa , gari kali, nk, heshima utaipata. We Mtumbua usaa ela ya kuskilizia weee, tabu tupuBro, nani ni tajiri TRA? Unless kwako utajiri ni kuiba.
unasomaa inategemeana chuo ganii...!! japo vyuo navyo vimefungiwaaa so competition kubwa hata kwenye binafsiSoma hiyo guideline ya TCU wacha kukaza kichwa. Hizo division 3 kusoma MD labda miaka ya 2012 kurudi nyuma ambapo hakukuwa na ushindani mkubwa.
Halafu mimi siyo mtoto wa jana, sitaki tu kujielezea humu. Sikuhizi bila division one kali husomi udaktari hapa Tanzania, japo vigezo vinataka mwisho two ya 12
unasomaa inategemeana chuo ganii...!! japo vyuo navyo vimefungiwaaa so competition kubwa hata kwenye binafsi
Rikiboy kumbe upo, nakukubali sana mwana.unasomaa inategemeana chuo ganii...!! japo vyuo navyo vimefungiwaaa so competition kubwa hata kwenye binafsi
Tupo mkuu...!!Rikiboy kumbe upo, nakukubali sana mwana.