Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Tofautisha Daktari ( Bachelor of Doctor of Medicine) na Tabibu ( Clinical Officer- diploma) usichanganye mambo hapa. Tukiongelea Daktari tunaongelea mtu wa Degree , sio watu wa Nacte huko matabibu.
Sasa hao matabibu si wanakujaga ku upgrade wanakuwa ma MD. Wapo wengi tu. Ma failure.
 
Attachments

  • Screenshot_20230701-224703.png
    Screenshot_20230701-224703.png
    58.6 KB · Views: 10
Soma hiyo guideline ya TCU wacha kukaza kichwa. Hizo division 3 kusoma MD labda miaka ya 2012 kurudi nyuma ambapo hakukuwa na ushindani mkubwa.

Halafu mimi siyo mtoto wa jana, sitaki tu kujielezea humu. Sikuhizi bila division one kali husomi udaktari hapa Tanzania, japo vigezo vinataka mwisho two ya 12
 
Wewe ni mtoto wa juzi. Ndio nakueleza sasa, hivo vigezo ni vya juzi juzi, na kimsingi Tanzania yetu kama huijui utapata tabu sana. Wapo kibao kwa taarifa yako.
 
Waliopata division 3 na kusoma MD walikuwa wanaruhusiwa zamani, wanafunzi walikuwa wachache na ushindani ulikuwa mdogo, kipindi hiki bila one kali hutoboi.

Namimi sikulazimishi kuamini kuwa mimi siyo mtoto wa juzijuzi, haitanibadilisha chochote. Heshimu kazi ya kila mmoja, wacha dharau.
 
Watu wa zamani waliopata division two na three, kwa sasa ni mabingwa wengine wapo Muhimbili, wanafanya wonders hadi watu wa nchi jirani wanakuja kutibiwa Tanzania.

Na historia ya taifa naijua kjn, yaani usimchukulie poa usiyemfahamu.
 
Mavi
 
Katika mafala wewe ni fala namba moja
Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
 
Katika mafala wewe ni fala namba moja
Huyo kama siyo taahira basi ni ndondocha, naona achaneni naye tu. Kwanza kama unasoma ili uajiriwe Kisha uwe tajiri, basi umepotea.

Ifikie mahala tuwaze kuitumikia jamii, kupata pesa nyingi kunaweza kuja labda kwa mambo mengine nje ya taaluma uliyosoma.
 
Vijana wenzio wanasoma vitu ambavyo unaweza kujiajiri. Wewe ukachagua usaa na damu. Sasa mpo wengi kama sisimizi. Kazi ya kudharauliwa kama ualimu. Pole. Ila pambana.
Nadhani alichosoma yeye nadhani waweza kujiajiri zaidi ya ulichosoma wewe, shida ni mentality tu.
 
Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
Bro, nani ni tajiri TRA? Unless kwako utajiri ni kuiba.
 
Mtaani hawana muda wa kujua umetoa wapi, chapa maghorofa , gari kali, nk, heshima utaipata. We Mtumbua usaa ela ya kuskilizia weee, tabu tupu
 
Soma hiyo guideline ya TCU wacha kukaza kichwa. Hizo division 3 kusoma MD labda miaka ya 2012 kurudi nyuma ambapo hakukuwa na ushindani mkubwa.

Halafu mimi siyo mtoto wa jana, sitaki tu kujielezea humu. Sikuhizi bila division one kali husomi udaktari hapa Tanzania, japo vigezo vinataka mwisho two ya 12
unasomaa inategemeana chuo ganii...!! japo vyuo navyo vimefungiwaaa so competition kubwa hata kwenye binafsi
 
Back
Top Bottom