Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Mahaba yenu mazito sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa mtu anayejua akili za watu, nyie mna ushikaji ambao kwa kweli mjinga hawezi kuuvunja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na huyo mjinga au yeyote asikae akatokea
 
Kuna midude ikiingia kati yenu anakula wote bila nyie kujua.

Kibaya zaidi mkikolea kila mmoja ndipo mnagundua mnatafunwa wote🀣🀣🀣
Ukinitongoza tu
Ujue sio siri

Tutakufubaza wewe tu
 
Kuna midude ikiingia kati yenu anakula wote bila nyie kujua.

Kibaya zaidi mkikolea kila mmoja ndipo mnagundua mnatafunwa wote🀣🀣🀣
Bahati mbaya hatuko humu kwa sababu hiyo.

Sio kila mwanamke analiwa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…