Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Mipaka gani tena jamani
Screenshot_20230224-172433_Chrome.jpg
 
Mahaba yenu mazito sana😂😂😂
Kwa mtu anayejua akili za watu, nyie mna ushikaji ambao kwa kweli mjinga hawezi kuuvunja.
😂😂😂 na huyo mjinga au yeyote asikae akatokea
 
Kuna midude ikiingia kati yenu anakula wote bila nyie kujua.

Kibaya zaidi mkikolea kila mmoja ndipo mnagundua mnatafunwa wote🤣🤣🤣
Ukinitongoza tu
Ujue sio siri

Tutakufubaza wewe tu
 
Kuna midude ikiingia kati yenu anakula wote bila nyie kujua.

Kibaya zaidi mkikolea kila mmoja ndipo mnagundua mnatafunwa wote🤣🤣🤣
Bahati mbaya hatuko humu kwa sababu hiyo.

Sio kila mwanamke analiwa ovyo
 
Back
Top Bottom