Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Kwa sababu umeona vitu viwili vinavyonihusu 😂😂😂

Nataka wa karibu
Muda wotr nimuibukie
Wee vitu vi4 hapo vyakuhusu, hiko cha 5 nacho sio big deal sana 😂

Kwahyo mtoa uzi sio wewe?
Thibitisha tasavali, bado nafsi imeshindwa kukubali huyu sio wewe
 
Nimerudi kusoma uzi 😂
Mbona kama ni mimi,, ila sio mimi bana
🤣🤣
 
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
Shost
Uko sehemu gani? Nina kaka angu anaitwa G ni don papi
Anaduraiv kuruza
Tall dark
Anajua kupenda

Nikupee?
😂😂
 
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
Bila shaka umeshanipata
 
Back
Top Bottom