Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Kazi ni kazi tu kweli kabisa
 
Utapata dada. Wapo wa dini yako. Wapo warefu kuliko wewe. Wapo wa London wapo wenye kazi na wapo 41+.
Ila ungeqeka ka picha waone ka sura figure na mengineo ingenoga na ungepata fasta
Nimekufahamu nitalifikiria ahsante saana
 
Mimi nafanya kazi pia sijakalia maslahi
 
Kwani kuna posti ngapi za hili tangazo..
Mbona kila nikituma meseji yangu inafutwa au natuma kwenye posti nyingine?
Nitaikosa bahati hivi hivi
Hawa Mods wananichawia....
 
Kwani kuna posti ngapi za hili tangazo..
Mbona kila nikituma meseji yangu inafutwa au natuma kwenye posti nyingine?
Nitaikosa bahati hivi hivi
Hawa Mods wananichawia....
Posti ni moja tu lakini, nilikosea nikarekepisha tena.
 
Unatoa tigipesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…