Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Yaani humu vijana ni wahovyo sana usishangae wanakuuliza miaka yote ulikua wapi
 
Uenda ni mchaguzi sana. Kwa Zanzibar ungeshaolewa ila napo kuna kundi kubwa la wanawake wanahitaji ndoa hasa Pemba. Vigezo vyako vya kijinga sana kwani maisha ni lazima uajiriwe ndio kazi. Ningekushauri useme unahitaji mwanaume mwenye uwezo wa kupata ridhiki kwa njia halali. Wewe inaonekana unataka hela na wala sio mume.
 
Mim vigezo vyote ninavyo nipo apa Dartford mtaa wa 13 tatizo sina Dini.
 
Hakuna haja ya kukatishana tamaa kwenye kufikia Malengo, tumuache mtoa mada atimize hitaji lake.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kuwa ataoa akiwa tayari (I will marry when I want~Ngugi wa Thiongo)

Mkuu Agera 1 kama umekosa vigezo kutokana na hitaji la mtoa mada usimind, anayehitajika ni Mume mmoja sio wawili au watatu.
 
Back
Top Bottom