Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ahsante saanaMwenyezi Mungu atimize hitaji la moyo wako.
Shaftesbury Avenue.Sawa nimekusikia, ahsante saana.
Unakaa wapi London ??
Kigezo cha dini nadhani ungekitoa kwa sababu kitakachoenda mbinguni ni roho wala siyo mwili.Mimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote. Natafuta mchumba atakaekuwa
pia anataka kuwa kwenye ndoa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto. Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye misingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi. Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofsini mimi ni meneja wa ofisi, tunahusika na uhasibu.
Nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa awe na miaka kuanzi 41, muislamu na awe anaishi London pia,
rangi sio tatizo lakini awe kanizidi urefu, mimi ni 5'2".
Ahsanteni saaana
Sawa ahsante saanaIla napenda unavojibu. Veeri humbly. Aki tena ukikosa think about me. We are the age mate.
Na nina bonus character siwezi mention hapa.
Babu acha tamaa.Una adabu sana, yaani unaongea Kiswahili wala hujionyeshi kwamba unaishi Uingereza. Yaani weweeee natamani niisikie sauti yako nzuri yenye lafudhi ya Kiunguja
Suali gani ?? Ahsante saanaJibu swali
Sawa nimekusikia, ahsante saanaKigezo cha dini nadhani ungekitoa kwa sababu kitakachoenda mbinguni ni roho wala siyo mwili.
Sawa ahsante saanaHajielewi
Wabongo bhana,Kigezo cha dini nadhani ungekitoa kwa sababu kitakachoenda mbinguni ni roho wala siyo mwili.
Kweli kabisa ahsate saanaWabongo bhana,
Unataka kumpangia anachokitaka yeye? ujuaji ukizidi hugeuka na kua upumbavu tu.
Umenena vyema zaidi!Vigezo vyako bado havika maturity.
Let love be unconditional
Ondoa vigezo, weka vichache vya maadili tu kama asiwe mlevi au mvuta bangi, awe amepevuka na mwenye utayari na mahusiano.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeshafika huko, nimefurahi kusikia. Ahsante saana. Sio mbali na London ni trani moja tu.Shaftesbury Avenue.
Wanaobalehe ni WANAUME....wanawake WANAVUNJA UNGO.Kila la kheri ila Hadi umri huo ulikuwa unafanya nini wakati nyie wazanzibar mnaolewa mkibalehe tu?
Hongera kwa kuwa muwazi,Mimi ni wanamke ninae penda kuwa
na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mchumba atakaekuwa
pia anataka kuwa kwenye ndoa. Mimi sina watoto ambae pia hana watoto.
Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye misingi ya dini. Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi.
Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofsini mimi ni meneja wa ofisi, tunahusika na uhasibu.
Nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa awe na miaka kuanzi 41, muislamu na awe anaishi London pia,
rangi sio tatizo lakini awe kanizidi urefu, mimi ni 5'2". Vile vile awe Mswahili/mzanzibari/Mtanzania mwezangu.
Ahsanteni saaana
Shemela yaani umewasaidia kuuliza ujuwe..!! Nimecheka kwa sauti hapo kwenye shake well before use..!!Kuna vijana wa ovyo watakuuliza vitu vya ajabu mzigo ni baada ya ndoa au shake well before use? Hawa vijana bure kabisa hawana maana
Nimekusikia, ahsante saana.Hongera kwa kuwa muwazi,
Vigezo karibu vyote utapata, ila hapo uliposema lazima huyo unaemtaka awe anaishi London, Hapo pagumu.
Inaonyesha bibie kama kweli upo ng'ambo si mtu wa kujichanganya sana.Unabeba box la nini ?? Sijakufahamu hapa.