Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Maneno maneno na ustahamilivu wapi.
Mtu anasema navuruga thread za watu kuwa najibu kila mtu. Nikaomba msamaha bado wansukusema kuliko kukuelekeza vyema.
Kuwa mvumilivu.Sasa ukiambiwa hivyo ndiyo uitoroke JF?Hapo bado haujatukanwa.Ukitukanwa itakuwaje?
 
wanamake hua wana msururu wa vigezo na ndio maana hawaolewi mpaka wanafikisha 41 na watafikisha mpaka 100.

Ati awe muislamu, awe mrefu, awe anaishi London, awe above 41, awe na kazi ya ofisini, awe hana mtoto, awe awe awe awe ***** hapo vigezo vingine kamezea tu. Women are not realistic. Mkuu unamiaka 41 haujaolewa kwasababu ya hayo mavigezo msururu mreeefu kama mkojo wa mlevi.

Wanaume tuko simple tabia njema na mzuri wa muonekano basi.
 
Powa tu hajazalimwishwa mtu, tulia.
 
Ndio nikasema hapanifai kabisa. Halafu kaka mmoja nipokuwa najibu thread za watu anesema ningejifunza kwanza ndio nijibu. Sasa watu wanakuandikia ukae kimpya, hiyo si tharau kutojibu.
Kwani unavyojitathmini,weye unajua kila kitu maishani?
 
Chengine soma vizuri sikusema awe na kazi gani !!
 
Mimi nipo bongo ndo sifa imenibana nifanyie mchongo nije tuanzishe familia mke wangu mtarajiwa
 
Kila Heri , Hope DM imeejaaa

Ila sisi wa landon utuwekee email tutume maombi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…