Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Samahani kama ushauri wangu utakuwaza, BT mume au mke hupatikani katika mazingira yanayo kuzunguka lakini humu watakudhihaki unless nawe unafurahisha jukwaa but mumeo anapatikana katika mazingira yako yanayo kuzunguka, either marafiki, majirani , business partners na n.k ,so usiwachukulie poa hangaika nao hao utanishukuru, coz wengi utapima vigezo vyako kiuhalisia BT sie huku tutakudangaja kwa sababu hatujuani kiundani. Mungu akutangulie katika safari yako inshallah!!,
 
Mimi nina futi 6.2. Sasa mimi kazi zangu ni za kujiajiri, na wewe muajiriwa UK 🇬🇧, hitimisho letu linakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…