Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Tukutane Stamford Bridge tuzungumze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ni culture tofauti na lugha pia siwafahamu wakati mwengineUnashangaa nini?
WowTukutane Stamford Bridge tuzungumze
Sijakuelewa.Nahisi ni culture tofauti na lugha pia siwafahamu wakati mwengine
Nimewana washauri wengi mnooo na baadhi ni wajuwaji saaana, mama Samia kazi anayo!Mbona wapo tu mzee? Kwenye Kila wanaume waliochelewa kuoa Basi jua wapo na wanawake waliochelewa kuolewa
Kwenye Kila wanawake waliochelewa kuzaa basi jua pia wapo na wanaume..
Tangazo lake lipo very straight huna sifa pita kushoto.. Hajasema anataka ushauri wa jinsi ya kupata mchumba/mume
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nakusudia siwafahamuSijakuelewa.
Binadamu wanatofautiana, kuna wenye busara na wengine hawana. Inategemea walivyolelewa.Nakusudia siwafahamu
Wanaokejeli ni ujinga mnooo na choyo/ubaguzi piaNimefuatilia watu wana jibu kejeli ila unawajibu vizuri kistaarabu.
Wow, lakini sasa kuuliza sio umpumbavu. Upumbavu wanavyojifanya wajuaji mooo.Binadamu wanatofautiana, kuna wenye busara na wengine hawana. Inategemea walivyolelewa.
Hahahaok olewa na hiyo elimu.
Asante pia.
Si uongeze wa pili best?Labda nimtoe outing tu kama kula na kumzungusha kwenye jiji langu hili
Mume umenipgia, Sifa zoote nnazo ila naishi London ya Mlandizi hukuuMimi nimejiunga kutafuta mume tu sio chengine chochote. Ahsante saana.
shukran Kwa masahihisho.Wanaobalehe ni WANAUME....wanawake WANAVUNJA UNGO.
Hata mimi nineona lakini kwa umri wake ni sahihi kuwa na busara...she's matured enough..anajua ana deal na watu wenye uelewa tofauti..@Zanzibar2014Zanzibar2014 nikusifu una busara sana.
Baadhi ya wanaume hawajui kuheshimu mwanamke au kukubali matakwa ya mtu.Unashangaa nini?
Hata mimi nineona lakini kwa umri wake ni sahihi kuwa na busara...she's matured enough..anajua ana deal na watu wenye uelewa tofauti..@Zanzibar2014
🙏🙏Zanzibar2014 nikusifu una busara sana.