Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Mbona wapo tu mzee? Kwenye Kila wanaume waliochelewa kuoa Basi jua wapo na wanawake waliochelewa kuolewa

Kwenye Kila wanawake waliochelewa kuzaa basi jua pia wapo na wanaume..

Tangazo lake lipo very straight huna sifa pita kushoto.. Hajasema anataka ushauri wa jinsi ya kupata mchumba/mume

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nimewana washauri wengi mnooo na baadhi ni wajuwaji saaana, mama Samia kazi anayo!
 
Back
Top Bottom