Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Ukitaka mwanaume mwenye pesa hakikisha na wewe unazo pesa pia.

Ukitaka mwanaume mwenye kazi hakikisha na wewe unayo kazi.

Ukikataka mwanaume mwenye gari hakikisha na wewe unalo gari la kwako.

Si vizuri wala busara majukumu ya wazazi wako waliokuzaa kutaka kumtwisha mtoto wa mwanamke mwenzio.

Mwanamke anayejitambuwa sifa kuu anayohitaji kwa mwanaume awe anajitambuwa, siyo jizi/jambazi na mcha Mungu.

Hizi sifa zingine ni ujasiliamwili tu longolongo huna tofauti na muuza nyapu tu. Hivi mtu mwenye kazi status yake haiwezi kubadilika na jobless na jobless kuwa employed au business winner? Poor IQ.
 
sio lazima iwe ww mwaya
 
Kuna Uzi kafungua anasema mume wa mtu kamdatisha ndio maana watu wanataka kujua.
 
Huyo labda umuumbe ww mwenyew. Mapenz ni hisia hivyo huwez kumlazimisha mtu akupende. Dada yangu maana huko mtaan umekosa mpaka uje huku? Humu ni sawa na kurusha jiwe gizani. Ila pole sana
 

Jaribu Bongo muvi utapata, maana kuna waigizaji wanaofaa kwenye tamthilia yako.
 
dada hiyo title ya thread yako tu umeshafeli mpaka hapa. Hizo sifa unazozitaka ukingeanza ww kuwa romantic. Ila pole sana. Umeorodhesha sifa nying kwa yule unayemtaka lkn ww ni mshenz wa tabia. Utakaye mpata humu ni mume wa mtu sbb ww una sifa ya mchepuko, haufai kuwa mke
 
una bikra,unahela au kazi ya maana??usije kuwa unatutangazia utuuzie matatizo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…