Natafuta mchumba

Hahaaaa! Watu na eksipoza zenu[emoji3] [emoji3]
 
Mae mchumba kapatikana, hapa tusubiri tu kwa mentor tuone nae atatoka vipi,

Tatizo lingine ni mbahiri huyu hatari, sasa mama uzuri wa Heaven on Earth nao tutaupata kwenye plastiki sijui nini hiyo? If yes basi fanya mpango na hayo maeksipozha basi.
 
Hahaha afu na yeye mchoyo kumbe, mbona hanipi hizo tactics na me nitoboe

Yaani mie hapa nta mlaumu huyu atoto kwa huu Ujecha ulotuhusu mpaka kesho.
Akienda kwenye vijiwe vyake level 9 sijui 10 anatesa!, akija kwetu anajifanya hambo.
Itabidi na sisi tuweke tangazo.
 
Kwahio mkuu mwanamke mmoja hawezi kuwa mzuri,exposed,tabia njema na educated?

Hawa dada zetu waleo ukimkuta mzuri na anaelimu bas tabia ziro, ukimkuta anatabia njema na mzuri basi hana elimu na ukimkuta ana elimu, exposed,tabia njema basi sura km ashangedele
 
Yaani mie hapa nta mlaumu huyu atoto kwa huu Ujecha ulotuhusu mpaka kesho.
Akienda kwenye vijiwe vyake level 9 sijui 10 anatesa!, akija kwetu anajifanya hambo.
Itabidi na sisi tuweke tangazo.
Uwiiiiii[emoji134] [emoji134] we kui ndio umeamua kunisingizia asubuhi ma mapema hivyo[emoji24] [emoji24]
 
Yaani mie hapa nta mlaumu huyu atoto kwa huu Ujecha ulotuhusu mpaka kesho.
Akienda kwenye vijiwe vyake level 9 sijui 10 anatesa!, akija kwetu anajifanya hambo.
Itabidi na sisi tuweke tangazo.
Hahaha mtoto mbaya huyo kama sura yake. Nimefuta naye undugu sio kwa kutuzunguka huko khaaa

Yeah sure, ngoja tuweke tangazo letu amazing sana
 
Mae mchumba kapatikana, hapa tusubiri tu kwa mentor tuone nae atatoka vipi,

Tatizo lingine ni mbahiri huyu hatari, sasa mama uzuri wa Heaven on Earth nao tutaupata kwenye plastiki sijui nini hiyo? If yes basi fanya mpango na hayo maeksipozha basi.

Tukifanya plastic nanihii itabidi tupunguze pia kula mihogo ili mwili nao at least uendane na sura.

Salad shoga salad na matunda!, nilikwambia hukunisikia unaona sasa tumekatwa!
Itabidi kunywa maji sana kufidia njaa ikizidi, tupate basi hata hao rafiki zake.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hapo kwenye kula majani kwakweli naomba tusamehane mpendwa, aisee achana na kitu inaitwa kula, labda hiyo plastik nanihii ifanyike na ya kuondoa apetite.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna na liposunction..,inafyonza mafuta yote sehemu yasipotakikana....
 
Plastic surgery ya kuondoa appetite! 🙂

Itabidi tuulize kule JF Dr. Kama ipo.
Kama unataka wazito itakuwa muhimu, halafu unajua hawa 'wazito' naona kama wanapendaga petits!, sijui kwa nini!
 
Duuuuh! Sitaki, yasije nikuta yalomkuta binti nanihii, ngoja tu nisubiri ninaloendana nalo.

Alafu mbona hutoi tangazo?[emoji57] [emoji57]
 
Plastic surgery ya kuondoa appetite! 🙂

Itabidi tuulize kule JF Dr. Kama ipo.
Kama unataka wazito itakuwa muhimu, halafu unajua hawa 'wazito' naona kama wanapendaga petits!, sijui kwa nini!
Sio wote, ila dont ask me[emoji12] [emoji12]
Hiyo plastik nanihii nimeghairi sitaki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…