Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Natafuta mchumba baadae awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee

Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
Duh!!.... Watu ni wajanja sana!.... Kuna watu wanne wanasakwa hapa indirectly, na ninahisi wameshakimbilia PM!!..... Pole sana rafiki yetu Cute b kwa kujileta mwenyewe ila sijui kama una lako hapa!!!
 
Asante rafiki yangu
Ngoja na Mimi nikaweke tangazo langu. Sema sijui jinsi ya kuanzisha Uzi.
 
Hawezi kuwa kama mie afu wakamuacha. She is taken for good.

Yaani option pekee ukubali kuwa mume mwenzie paw. Hakuna namna, nitapanga zamu vizuri usiwe na wasi. Mie mtu wa dini.
Kwetu ku-share mwiko...nipe yule mdogo wako,najua yuko kama wewe
 
Hizo sifa za watu wanne we unazitaka zote kwa mtu mmoja daah...ningekuwa nayo walau moja ningejaribu bahati yangu
Hahaha kura hazijatosheleza ama? Wewe nenda bana, kama kukatwa walikatwa kina nanhii sembuse wewe. Au unaogopa RR ataku-Jecha?
 
Hawezi kuwa kama mie afu wakamuacha. She is taken for good.

Yaani option pekee ukubali kuwa mume mwenzie paw. Hakuna namna, nitapanga zamu vizuri usiwe na wasi. Mie mtu wa dini.
Good girls by Joe Thomas kweli ina apply!
 
Sasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?

But anyways, hivi siwezi kuwa na waume wawili? manake naona kama vigezo vyote nnavyo.[emoji85]

First runner???? I will start my own thread..sitaki kujua first runner au wa mwisho.
 
Ila kwa uchoyo tu umetisha, misifa yote hiyo unaitaka peke yako looh, ndo unatupunguza pm kiujanja. Ngoja nisubirie tu tangazo la Mentor, maybe ntapumzika kuotesha vigimbi[emoji87] [emoji87] [emoji133] [emoji133]
Jamani sifa nne tu?! Tena nimepunguza sijasema awe na figure kama cute b maanake ingekuwa shida kumpata!
 
Na mimi nina aleji ya kukatwa kama wewe tena kukatwa kwa kujitakia
Hahaha wewe nenda bana, una afadhali.
1. Urembo nimecheka hadi nimekaa. Hapo hajasema anataka mtoto petite sijui appetite. Mnyaki mimi heavy weight
2 . Exposure me ninayo ya makete na mwanjelwa lol
3. Brainy na aliyesoma, kwa hii elimu yangu ya shule ya hapa na pale au? Ukute anakagua na G.D.A sijui G.P.A , kisa cha mtu mzima kama mimi kukatwa kwa aibu ni nini? Nimemuacha na uchoyo wake [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Naona umeamua kuniharibia....kwa comment hii unawakatisha tamaa kabisa! Naomba umfuate housegirl kapita >>>>>>
 
Jamani sifa nne tu?! Tena nimepunguza sijasema awe na figure kama cute b maanake ingekuwa shida kumpata!
Aaah nilishaijumlisha hiyo kichwani, mnyaki na hiyo figure wapi na wapi. Baki na uchoyo wako. Si unapenda wenzako tunavyootesha vigimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha wewe nenda bana, una afadhali.
1. Urembo nimecheka hadi nimekaa. Hapo hajasema anataka mtoto petite sijui appetite. Mnyaki mimi heavy weight
2 . Exposure me ninayo ya makete na mwanjelwa lol
3. Brainy na aliyesoma, kwa hii elimu yangu ya shule ya hapa na pale au? Ukute anakagua na G.D.A sijui G.P.A , kisa cha mtu mzima kama mimi kukatwa kwa aibu ni nini? Nimemuacha na uchoyo wake [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo namba 2 naona tutatafutana ugomvi hapa we hayaa
 
Back
Top Bottom