Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Kafanye usafiNapita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanye usafiNapita tu
Duh!!.... Watu ni wajanja sana!.... Kuna watu wanne wanasakwa hapa indirectly, na ninahisi wameshakimbilia PM!!..... Pole sana rafiki yetu Cute b kwa kujileta mwenyewe ila sijui kama una lako hapa!!!Natafuta mchumba baadae awe mke wangu. Awe na sifa zifuatazo
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.
Nlitaka kumkumbushia...6. Awe na shape kama cute b.
Bila kusahau dimpoz za mashavuni na kiunoni.
(Natania x Wangu)
Kila la kher
Asante rafiki yanguDuh!!.... Watu ni wajanja sana!.... Kuna watu wanne wanasakwa hapa indirectly, na ninahisi wameshakimbilia PM!!..... Pole sana rafiki yetu Cute b kwa kujileta mwenyewe ila sijui kama una lako hapa!!!
Haaa kumbe upo hapa?Nlitaka kumkumbushia...
Umeniwahi...
Kwetu ku-share mwiko...nipe yule mdogo wako,najua yuko kama wewe
teh!teh!teh!!!Asante rafiki yangu
Ngoja na Mimi nikaweke tangazo langu. Sema sijui jinsi ya kuanzisha Uzi.
Ila kwa uchoyo tu umetisha, misifa yote hiyo unaitaka peke yako looh, ndo unatupunguza pm kiujanja. Ngoja nisubirie tu tangazo la Mentor, maybe ntapumzika kuotesha vigimbi[emoji87] [emoji87] [emoji133] [emoji133]Mwenye sifa atajua kiwango cha 'bonus'
Hahaha kura hazijatosheleza ama? Wewe nenda bana, kama kukatwa walikatwa kina nanhii sembuse wewe. Au unaogopa RR ataku-Jecha?Hizo sifa za watu wanne we unazitaka zote kwa mtu mmoja daah...ningekuwa nayo walau moja ningejaribu bahati yangu
Na mimi nina aleji ya kukatwa kama wewe tena kukatwa kwa kujitakiaHahaha kura hazijatosheleza ama? Wewe nenda bana, kama kukatwa walikatwa kina nanhii sembuse wewe. Au unaogopa RR ataku-Jecha?
Sasa mngekuwa wazalendo si ungechukua 1st runner up baada ya rrondo kupata?
But anyways, hivi siwezi kuwa na waume wawili? manake naona kama vigezo vyote nnavyo.[emoji85]
Jamani sifa nne tu?! Tena nimepunguza sijasema awe na figure kama cute b maanake ingekuwa shida kumpata!Ila kwa uchoyo tu umetisha, misifa yote hiyo unaitaka peke yako looh, ndo unatupunguza pm kiujanja. Ngoja nisubirie tu tangazo la Mentor, maybe ntapumzika kuotesha vigimbi[emoji87] [emoji87] [emoji133] [emoji133]
Hahaha wewe nenda bana, una afadhali.Na mimi nina aleji ya kukatwa kama wewe tena kukatwa kwa kujitakia
Naona umeamua kuniharibia....kwa comment hii unawakatisha tamaa kabisa! Naomba umfuate housegirl kapita >>>>>>Hahaha wewe nenda bana, una afadhali.
1. Urembo nimecheka hadi nimekaa. Hapo hajasema anataka mtoto petite sijui appetite. Mnyaki mimi heavy weight
2 . Exposure me ninayo ya makete na mwanjelwa lol
3. Brainy na aliyesoma, kwa hii elimu yangu ya shule ya hapa na pale au? Ukute anakagua na G.D.A sijui G.P.A , kisa cha mtu mzima kama mimi kukatwa kwa aibu ni nini? Nimemuacha na uchoyo wake [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Aaah nilishaijumlisha hiyo kichwani, mnyaki na hiyo figure wapi na wapi. Baki na uchoyo wako. Si unapenda wenzako tunavyootesha vigimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani sifa nne tu?! Tena nimepunguza sijasema awe na figure kama cute b maanake ingekuwa shida kumpata!
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo namba 2 naona tutatafutana ugomvi hapa we hayaaHahaha wewe nenda bana, una afadhali.
1. Urembo nimecheka hadi nimekaa. Hapo hajasema anataka mtoto petite sijui appetite. Mnyaki mimi heavy weight
2 . Exposure me ninayo ya makete na mwanjelwa lol
3. Brainy na aliyesoma, kwa hii elimu yangu ya shule ya hapa na pale au? Ukute anakagua na G.D.A sijui G.P.A , kisa cha mtu mzima kama mimi kukatwa kwa aibu ni nini? Nimemuacha na uchoyo wake [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]