Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahah wala hatozimia,Hahahaaaaa! Unataka rrondo azimie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah wala hatozimia,Hahahaaaaa! Unataka rrondo azimie?
Sijui nikuchape[emoji134] [emoji134]Asante rafiki yangu
Ngoja na Mimi nikaweke tangazo langu. Sema sijui jinsi ya kuanzisha Uzi.
Usijali hawatokula mbilimbi ni mwendo wa mihogo tu.anataka kuoa maisha anayo
au unataka kuwalisha watoto wa watu mbilimbli tu
Kama kizungu hakipandi kaa mbali mama, utakosolewa grama humo ndani na vingreza vyake hadi ukome[emoji134]Mi mwenzio kizungu chenga....ndo kasemaje?
6. Awe na shape kama cute b.
Bila kusahau dimpoz za mashavuni na kiunoni.
(Natania x Wangu)
Kila la kher
[emoji134] [emoji134] [emoji134] Sifa zimegoma, nimekosa mume msukuma hivi hiviiii, nawe uwe unanipeleka hata mikumi nikapate sijui ndio wanaita eksipozha, khaaah!Hahah wala hatozimia,
Usinichape dada yangu . Ha Ha Ha ni shetani tuuSijui nikuchape[emoji134] [emoji134]
Na x Wangu kwa kujidai tuu kila baada ya neno moja anatupia na kidhungu kigumu. Mimi nilishindwa.Kama kizungu hakipandi kaa mbali mama, utakosolewa grama humo ndani na vingreza vyake hadi ukome[emoji134]
KBH Njoo chemba nikupe mchongo wa pesa ndefu.Halafu KBH kitu ulichonifanyia siyo kabisa!
Rafiki yangu nifundishe mapema kabla huyu x wangu hajapata mchumba.Usiwe na mashaka rafiki, nitakufundisha namna ya kuandika uzi wenye mvuto hadi uibue wachumba wazuri kutoka mafichoni!
Teh teh..Hizo sio nne bro..Ni nyingi ukizinyambuaseriously??!! Hizi sifa nne tu siwezi kupata?!
Usinichape dada yangu . Ha Ha Ha ni shetani tuu
Yaani ungewatupia kigezo cha shape kama yangu hamna mtu angejitokeza. Ha Ha haJamani sifa nne tu?! Tena nimepunguza sijasema awe na figure kama cute b maanake ingekuwa shida kumpata!
Upo?Labda kama unataka midoli!