Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kama kizungu hakipandi kaa mbali mama, utakosolewa grama humo ndani na vingreza vyake hadi ukome[emoji134]
Naona #TeamPasuaKichwa mmevamia mnuso.........
 
Kama kizungu hakipandi kaa mbali mama, utakosolewa grama humo ndani na vingreza vyake hadi ukome[emoji134]
Na x Wangu kwa kujidai tuu kila baada ya neno moja anatupia na kidhungu kigumu. Mimi nilishindwa.
 
Usiwe na mashaka rafiki, nitakufundisha namna ya kuandika uzi wenye mvuto hadi uibue wachumba wazuri kutoka mafichoni!
Rafiki yangu nifundishe mapema kabla huyu x wangu hajapata mchumba.
 
Back
Top Bottom