Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hizo sizijui mae, tutafute na viatu vya njano vya kung'aaaa!
Teh ganagana=baiskeli. Siku hiyo nimefika Nzega nataka kwenda mjini, wenyeji wakaniambia twende tukupeleke barabarani ukapande ganagana (me kwa akili yangu nikajua daladala), Nikasema eeh huku Wameendelea. Khaaa nashangaa kitu kinaitwa "ganagana", me Nipo mwee hiyo hiace gani inayoitwa hivi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13], x-pozha unique sana
 
Ndio maana nilitoa kigezo cha exposure kama yako....hajui pale coco nakula mihogo na ma-bilionare wenzagu Wahindi!

atoto unaona mambo hii!

Mwenzio anakula mihogo na wenye hela wenzake huku wanapiga deals za millions.
Yaani angekufaa kweli jamani dah!

Halafu ni kweli au nimeota kuwa mchumba kapatikana?!,...aisee kama ni kweli tu appeal hivo vigezo vipunguzwe.

X-pozha tunaweza ipata pale kwenye mzunguko.
Kwa akili itabidi tumuone Karucee atupe darasa.
Halafu Heaven Sent atufunde kwenye manners.
Sura sio tatizo sana, hata kama tumefanana sana na baba zetu tunaweza fanya plastic surgery japo ya kurekebisha pua kidogo iwe kama ya wadhungu.
 
atoto unaona mambo hii!

Mwenzio anakula mihogo na wenye hela wenzake huku wanapiga deals za millions.
Yaani angekufaa kweli jamani dah!

Halafu ni kweli au nimeota kuwa mchumba kapatikana?!,...aisee kama ni kweli tu appeal hivo vigezo vipunguzwe.

X-pozha tunaweza ipata pale kwenye mzunguko.
Kwa akili itabidi tumuone Karucee atupe darasa.
Halafu Heaven Sent atufunde kwenye manners.
Sura sio tatizo sana, hata kama tumefanana sana na baba zetu tunweza fanya plastic surgery japo ya kurekebisha pua kidogo iwe kama ya wadhungu.
Hahahah too late to appeal shaaa. Tutafungua group wasap tutaexchange somo la manners na exposure[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
  • Thanks
Reactions: kui
atoto unaona mambo hii!

Mwenzio anakula mihogo na wenye hela wenzake huku wanapiga deals za millions.
Yaani angekufaa kweli jamani dah!

Halafu ni kweli au nimeota kuwa mchumba kapatikana?!,...aisee kama ni kweli tu appeal hivo vigezo vipunguzwe.

X-pozha tunaweza ipata pale kwenye mzunguko.
Kwa akili itabidi tumuone Karucee atupe darasa.
Halafu Heaven Sent atufunde kwenye manners.
Sura sio tatizo sana, hata kama tumefanana sana na baba zetu tunweza fanya plastic surgery japo ya kurekebisha pua kidogo iwe kama ya wadhungu.
Hahaaaa. Say what?
 
Back
Top Bottom