Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Afu nasuggest sare tushone yale mapazia nilokwambia siku ile, afu tuwe unique (x_pozha oyee), Usafiri tutumie "ganagana", unazijua?Naanza mazoezi na ya kuimba kwa kukandamiza pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu nasuggest sare tushone yale mapazia nilokwambia siku ile, afu tuwe unique (x_pozha oyee), Usafiri tutumie "ganagana", unazijua?Naanza mazoezi na ya kuimba kwa kukandamiza pia.
Mfyuu kamuombe mumeo, ndo maana umekatwaNipe hela nikusimulie.
Wivu sina ila roho inauma.Hivi ujue viboko vitakuhusu we mtoto[emoji57] [emoji57]
Huu muda uutumie kutafuta x-pozha usije ukakatwa tena tehMaeee! Imbombo ngafu[emoji134]
Hahahaaaa! Uwiiii Mentor fanya fasta basi, ila tafadhali sana punguza vogezo angalau tu iwe mpenda hela pekee.
Nimeghairi nitakudai mpaka unipe tuAfadhali umelikumbuka hilo, maana kwenye kutoa naweza tia huruma hadi ukanisamehe.
Hizo sizijui mae, tutafute na viatu vya njano vya kung'aaaa!Afu nasuggest sare tushone yale mapazia nilokwambia siku ile, afu tuwe unique (x_pozha oyee), Usafiri tutumie "ganagana", unazijua?
Hahahaaaa! Watu na nyota zetu za kukatwa, yule simuombi bali nademand.Mfyuu kamuombe mumeo, ndo maana umekatwa
Wachache sana wenye hizo sifa.Labda mimi tuKwanini youngblood?
Safi mpz,miss you big time, check me plz.Wivu sina ila roho inauma.
Mamy mambo?
Khaaah! Basi tena umeshindwa kazi.Nimeghairi nitakudai mpaka unipe tu
Sawa my sisSafi mpz,miss you big time, check me plz.
Teh ganagana=baiskeli. Siku hiyo nimefika Nzega nataka kwenda mjini, wenyeji wakaniambia twende tukupeleke barabarani ukapande ganagana (me kwa akili yangu nikajua daladala), Nikasema eeh huku Wameendelea. Khaaa nashangaa kitu kinaitwa "ganagana", me Nipo mwee hiyo hiace gani inayoitwa hivi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13], x-pozha unique sanaHizo sizijui mae, tutafute na viatu vya njano vya kung'aaaa!
Ndio maana nilitoa kigezo cha exposure kama yako....hajui pale coco nakula mihogo na ma-bilionare wenzagu Wahindi!
Afu nasuggest sare tushone yale mapazia nilokwambia siku ile, afu tuwe unique (x_pozha oyee), Usafiri tutumie "ganagana", unazijua?
Hizo sizijui mae, tutafute na viatu vya njano vya kung'aaaa!
Hahahah too late to appeal shaaa. Tutafungua group wasap tutaexchange somo la manners na exposure[emoji87] [emoji87] [emoji87]atoto unaona mambo hii!
Mwenzio anakula mihogo na wenye hela wenzake huku wanapiga deals za millions.
Yaani angekufaa kweli jamani dah!
Halafu ni kweli au nimeota kuwa mchumba kapatikana?!,...aisee kama ni kweli tu appeal hivo vigezo vipunguzwe.
X-pozha tunaweza ipata pale kwenye mzunguko.
Kwa akili itabidi tumuone Karucee atupe darasa.
Halafu Heaven Sent atufunde kwenye manners.
Sura sio tatizo sana, hata kama tumefanana sana na baba zetu tunweza fanya plastic surgery japo ya kurekebisha pua kidogo iwe kama ya wadhungu.
Hahaha afu na yeye mchoyo kumbe, mbona hanipi hizo tactics na me nitoboeAtoto anajifanya ' humble' tu hapa. Mziki wake si mdogo...
Hahaaaa. Say what?atoto unaona mambo hii!