The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Mkuu JF, hakuna wa kuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe mkuu hufai?Mkuu JF, hakuna wa kuoa
Hahaaaa! Watu na eksipoza zenu[emoji3] [emoji3]Teh ganagana=baiskeli. Siku hiyo nimefika Nzega nataka kwenda mjini, wenyeji wakaniambia twende tukupeleke barabarani ukapande ganagana (me kwa akili yangu nikajua daladala), Nikasema eeh huku Wameendelea. Khaaa nashangaa kitu kinaitwa "ganagana", me Nipo mwee hiyo hiace gani inayoitwa hivi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13], x-pozha unique sana
Siku nyingine ntakupa x-pozha ya makete kwa kina Khantwe. HatariousHahaaaa! Watu na eksipoza zenu[emoji3] [emoji3]
Mae mchumba kapatikana, hapa tusubiri tu kwa mentor tuone nae atatoka vipi,atoto unaona mambo hii!
Mwenzio anakula mihogo na wenye hela wenzake huku wanapiga deals za millions.
Yaani angekufaa kweli jamani dah!
Halafu ni kweli au nimeota kuwa mchumba kapatikana?!,...aisee kama ni kweli tu appeal hivo vigezo vipunguzwe.
X-pozha tunaweza ipata pale kwenye mzunguko.
Kwa akili itabidi tumuone Karucee atupe darasa.
Halafu Heaven Sent atufunde kwenye manners.
Sura sio tatizo sana, hata kama tumefanana sana na baba zetu tunaweza fanya plastic surgery japo ya kurekebisha pua kidogo iwe kama ya wadhungu.
Atoto anajifanya ' humble' tu hapa. Mziki wake si mdogo...
Nyie nisingizieni tu, nikikosa mchumba mnaniwowa!!Hahaha afu na yeye mchoyo kumbe, mbona hanipi hizo tactics na me nitoboe
Hahaha afu na yeye mchoyo kumbe, mbona hanipi hizo tactics na me nitoboe
We ushapata mchumba, mbona tena maswali?[emoji134]TAYARI...............................🙂🙂🙂🙂🙂
Kwahio mkuu mwanamke mmoja hawezi kuwa mzuri,exposed,tabia njema na educated?
Uwiiiiii[emoji134] [emoji134] we kui ndio umeamua kunisingizia asubuhi ma mapema hivyo[emoji24] [emoji24]Yaani mie hapa nta mlaumu huyu atoto kwa huu Ujecha ulotuhusu mpaka kesho.
Akienda kwenye vijiwe vyake level 9 sijui 10 anatesa!, akija kwetu anajifanya hambo.
Itabidi na sisi tuweke tangazo.
Hahaha mtoto mbaya huyo kama sura yake. Nimefuta naye undugu sio kwa kutuzunguka huko khaaaYaani mie hapa nta mlaumu huyu atoto kwa huu Ujecha ulotuhusu mpaka kesho.
Akienda kwenye vijiwe vyake level 9 sijui 10 anatesa!, akija kwetu anajifanya hambo.
Itabidi na sisi tuweke tangazo.
Si ndo maana Nilisema nimeover qualify[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe una eksipoza basi tu unanichuuza[emoji134] hadi makete[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mae mchumba kapatikana, hapa tusubiri tu kwa mentor tuone nae atatoka vipi,
Tatizo lingine ni mbahiri huyu hatari, sasa mama uzuri wa Heaven on Earth nao tutaupata kwenye plastiki sijui nini hiyo? If yes basi fanya mpango na hayo maeksipozha basi.
Khaaaah! Huyu kui sio mtu mzuriHahaha mtoto mbaya huyo kama sura yake. Nimefuta naye undugu sio kwa kutuzunguka huko khaaa
Yeah sure, ngoja tuweke tangazo letu amazing sana
Kwakweli i kanti yu.Si ndo maana Nilisema nimeover qualify[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hapo kwenye kula majani kwakweli naomba tusamehane mpendwa, aisee achana na kitu inaitwa kula, labda hiyo plastik nanihii ifanyike na ya kuondoa apetite.Tukifanya plastic nanihii itabidi tupunguze pia kula mihogo ili mwili nao at least uendane na sura.
Salad shoga salad na matunda!, nilikwambia hukunisikia unaona sasa tumekatwa!
Itabidi kunywa maji sana kufidia njaa ikizidi, tupate basi hata hao rafiki zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna na liposunction..,inafyonza mafuta yote sehemu yasipotakikana....[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hapo kwenye kula majani kwakweli naomba tusamehane mpendwa, aisee achana na kitu inaitwa kula, labda hiyo plastik nanihii ifanyike na ya kuondoa apetite.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hapo kwenye kula majani kwakweli naomba tusamehane mpendwa, aisee achana na kitu inaitwa kula, labda hiyo plastik nanihii ifanyike na ya kuondoa apetite.
Duuuuh! Sitaki, yasije nikuta yalomkuta binti nanihii, ngoja tu nisubiri ninaloendana nalo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna na liposunction..,inafyonza mafuta yote sehemu yasipotakikana....
Sio wote, ila dont ask me[emoji12] [emoji12]Plastic surgery ya kuondoa appetite! 🙂
Itabidi tuulize kule JF Dr. Kama ipo.
Kama unataka wazito itakuwa muhimu, halafu unajua hawa 'wazito' naona kama wanapendaga petits!, sijui kwa nini!